lugha kipengele sana iyoAngola wanaongea Kireno kwanza ulijuwe hilo.
Kama kuna mtanzania aliyepo Angola naomba kujua kama kuna fulsa kwa wajasiliamali nchini Angola hali ipoje na fulsa zake naomba msaada kwa yoyote aliopo huko
Dio lugha msala nikajua wanatumia kingelezaAngola wanaongea Kireno kwanza ulijuwe hilo.