The Mpemba effect is the observation that hot liquids or colloids can freeze more quickly than colder ones, for similar volumes and surrounding conditions. Physicists remain divided on the effect's reproducibility, precise definition, and underlying mechanisms.Huku Dsm hali ya hewa siyo shwari kidogo, hii chai ya Mshana ni ya moto inasadia kuleta joto angalau.
Kudos to him.Erasto mpemba alikuwa ni mzaliwa wa Lushoto mkoani Tanga, Alikuwa ni mwanafunzi ambae alikuwa na bidii katika masomo yake
Wakati yupo kidato cha tatu katika shule ya secondary Magamba ya mkoani Tanga walikuwa wakitengeneza aiskrimu za maziwa na kuweka kwenye friji ili zigande
Kawaida yao walikuwa wakichemsha maziwa ya moto kisha wanaweka sukari wanasubiri maziwa yapoe halafu ndio waweke kwenye friji
Lakini nafasi ilikuwaga ni ndogo katika friji kwahiyo kama ukichelewa itabidi usubiri wenzako aiskrimu zao zigande ndio uweke ya kwako
Siku moja Erasto Mpemba aliweka maziwa yakiwa bado ni ya moto akihofia kukosa nafasi kwenye friji, ila wakati anasubiri alijua kwamba haiwezekani maziwa yake yakaganda maana yalikuwa ni ya moto
Lakini jambo la kushangaza ni kwamba maziwa yake yaliwahi kuganda haraka kabla ya walioweka maziwa yaliyopoa, jambo lililomshangaza sana Erasto Mpemba na kutaka kujua kwanini iwe hivyo?
Alimfuata mwalimu wake wa physics ambaye alimkatalia akisemaView attachment 3488436
Hii niliona mahaliKudos to him.
Lakini hiyo Mpemba effect ilishaandikwa na Artistotle miaka aliyoishi huko nyuma kabla ya Yesu kuzaliwa. Aristotle alifariki miaka 322 kabla ya common era /kuzaliwa na Yesu.
Ina maana Aristotle aliandika hili jambo miaka zaidi ya 2347 iliyopita.
Na zaidi, hiyo Mpemba effect yenyewe inakuwa questioned.
Soma hapa.
Questioning the Mpemba effect: hot water does not cool more quickly than cold - Scientific Reports
The Mpemba effect is the name given to the assertion that it is quicker to cool water to a given temperature when the initial temperature is higher. This assertion seems counter-intuitive and yet references to the effect go back at least to the writings of Aristotle. Indeed, at first thought one...www.nature.com
Nili taka nikuite, maana watu wana mchukulia poa isac newton kiasi cha kufanya comparison kirahisi.Kudos to him.
Lakini hiyo Mpemba effect ilishaandikwa na Artistotle miaka aliyoishi huko nyuma kabla ya Yesu kuzaliwa. Aristotle alifariki miaka 322 kabla ya common era /kuzaliwa na Yesu.
Ina maana Aristotle aliandika hili jambo miaka zaidi ya 2347 iliyopita.
Na zaidi, hiyo Mpemba effect yenyewe inakuwa questioned.
Soma hapa.
Questioning the Mpemba effect: hot water does not cool more quickly than cold - Scientific Reports
The Mpemba effect is the name given to the assertion that it is quicker to cool water to a given temperature when the initial temperature is higher. This assertion seems counter-intuitive and yet references to the effect go back at least to the writings of Aristotle. Indeed, at first thought one...www.nature.com
Wapo watanzania wengi tu bwashee.Wabongo mukiamua kujipakulia minyama hakuna anae waweza.
Ndio wakufananisha na Isack Newton?Wapo watanzania wengi tu bwashee.
Kuna Prof Ainory Gesase . Yeye ni mtaalamu wa Anatomical variations.
Yeye aligundua mishipa ya figo na Korodani ( ranal & testicular vessel) zenye njia za kipekee mno.
I sack Newton mchumba tu bwashee , sisi ndio wabongo masterNdio wakufananisha na Isack Newton?
Wabongo acheni bhana!
Ongezea na Calculus.....Ni mtu alieweza kuleta mchango katika ulimwengu wa sayansi lakini sio wa kumfananisha na Newton.
Newton ni habari nyingine, hakuishia kugundua tu kitu flani kinatokea ukifanya jambo flani.
Alichimba zaidi kwa kuweka misingi, sheria hadi formula za ku-proove kwa hesabu na physics. Vyuoni na mashuleni topics zake zinazipigiwa msuli wa kutosha.
- First Law of Motion (Law of Inertia):
- Second Law of Motion (Force and Acceleration):
- Third Law of Motion (Action and Reaction):
- Newton’s Law of Universal Gravitation
- Newton's Work on Optics
- Newton’s Binomial Theorem
- Newton's Law of Cooling
- Newtonian Fluid Mechanics