Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,131
zuberi ri*********
Serikali ya Wasanii na wachina feki ndio waliosaini! Sheria ya china ipo palepale! Juhudi za kumnusuru zinahitajika!
No way out lazima tuheshimu sheria tunaishi kwa sheria kila mahali ni kujifunza na kujipanga pole kwa familia ubalozi uangalie kama kuna namna money inaweza nunua sheria sisi tunajisumbua hapa wenye mali watafanya namna tu
YERICKO
Unajidanganya,umezoea Tanzania kuwa tutayaongea na yataisha,china hiyo haipo,nakueleza haipo na haiwezi tokea hata aende obama,
wanamsemo wao kuwa " NO WAY OUT"
soma hapa chini
China has executed a South African woman for drug smuggling, rejecting an appeal by President Jacob Zuma to spare her life, an official says.
Hivi ile kesi ya yule mtoto wa liyumba na mwenzake waliishia wapi na unga kontena zima
Hivi na mjomba (Mpoto) ilikuwaje nasikia Baba Liz alienda kumtetea????????
Taarifa za kuaminika nikuwa,
Mtanzania
akamatwa na unga China ananyongwa J'nne anaitwa Zuberi, Ni mkaazi wa Mzanzibar aliwahi kuishi Canada! Sijui atasaidiwa vipi maana yeye ni container tu Ma don wapo Bongo
Serikali ya Wasanii na wachina feki ndio waliosaini! Sheria ya china ipo palepale! Juhudi za kumnusuru zinahitajika!
Kina Ngereja na Nundu wananyongwa lini? Mbunge wa Nkasi alipendekeza hilo
,,,he! Kumbe China hawali ugali!!
Haaaahaaahaa safi sana!Rushwa na madawa ya kulevya. Wakikudaka huli ugali wa serikali ni kifo tu. Ndo maana wanasonga hawa jamaa