Kweli uchawi jamaa wnafanya sana Ila mmezaji kikubwa anakuwa n'a confidence,kuwakabili uhamiaji na watu wa usalama wa border n'a viwanja vya ndege....
Njia ya Magari inategemea Kama namibia huko wana mbwa hatari wa kunusa,n'a police chek
Kuna watu wengine wanatoka na madawa brazil au agentina huko kuna wabolivia ni hatari
KWA parking unga unawekwa kwenye mashati mapya uzito wa kg 1,unawekwa kwenye mags(colombe vya udongo)
Shida njiaa inapobanwa n'a wao wanaumiza vichwa namna ya kupitisha madawa....
Hao wanaoleta kwa majahazi nao wanakwenda bahari ambazo pareil hakuna watu huku wanasema wanakwenda kuvuaa so mapambano syo rahsi kivile inabdi wahusika nao waumize vichwa kila kukicha
Ova