Mtanzania Ahmed Albaity mwenye ugonjwa wa kupooza anaendeleaje?

Kiukweli sina undungu hata chembe na waarabu mimi binafsi sijaguswa kabisa na kama watanzania mmetembea maeneo ya hao jamaa Arabic countries basi sifikiri kama utatoa ata mia tuna watu wengi wakusaidia wanaotuhusu walau angekuwa mzungu kidogo but si mwarabu wala mhindi

dah we jamaa una roho ya ajabu sana..

kutoa ni moyo usilipize ubaya kwa ubaya.. swala la ugonjwa ama kusaidia mtu halichukuliwi kwa rang wala kabila

ingekuwa hivyo wale wakimbiz wa kiarabu wasingepokelewa ulaya ama wasomali
wasingeishi kenya
 
Kiukweli sina undungu hata chembe na waarabu mimi binafsi sijaguswa kabisa na kama watanzania mmetembea maeneo ya hao jamaa Arabic countries basi sifikiri kama utatoa ata mia tuna watu wengi wakusaidia wanaotuhusu walau angekuwa mzungu kidogo but si mwarabu wala mhindi

ndugu yangu mbona mbaguzi sana?hao wazungu ndio unawaona bora sana kwako ?
hujafa haujaumbika
 
Mbaguzi wa rangi namba moja duniani ni Mwafrika sema ni kuwa Mwenyezi Mungu alicheza kama Pele akatuweka wa mwisho akawajalia wazungu, waarabu na race zingine ila trust me Mwafrika angekuwa kama Mzungu kuanzia uwezo, akili na kila kitu hii dunia isingetawalika.

Trust me

Wewe unadhihirisha upumbavu wetu na ukosefu wa utu.
Achana Naye huyo, kavurugwa!
 
Alipata ajali ya gari, sasa nafikiri akapata itilafu kwenye uti wake Wa mgongo, so Toka Hapo amekuwa tegemezi Wa hisani za watu wake Wa karibu. Anatia huruma Sana. Kama Una account instagram mcheki utapata mengine kumuhusu

Hivi nae alikuwa miongoni mwa-waigizaji wa bongo movie?
 
Nope sio ajali ya gari....., niliangalia video yake akisimulia alivyopata hayo matatizo... walikua wana dive huko Tanga katika bahari ndio akajigonga katika mwamba na tangu siku hiyo amekua wa kitandani tu... Story yake inasikitisha nakumbuka I cried that day
hivi ni baharini au kwenye swimming pool?
 
Kiukweli sina undungu hata chembe na waarabu mimi binafsi sijaguswa kabisa na kama watanzania mmetembea maeneo ya hao jamaa Arabic countries basi sifikiri kama utatoa ata mia tuna watu wengi wakusaidia wanaotuhusu walau angekuwa mzungu kidogo but si mwarabu wala mhindi
Mwenyeezzi mungu akusamehe....
la pili Bony ee huyu ni mgonjwa ni Mtanzania (kazaliwa Tanga na hajaishi huko Uarabuni) kosa lake nini?
la tatu Mbona unajumulisha Taifa na umma mzima kwa mapungufu ya wachache, usijumuishe ubaya wa kundi ovu...
la nne FYI, dunia ni mzunguko wewe au mie hatuna dhamana au guarantte kwa muumba.....
la tano naomba ukipata wasaa uende Hosipitali yyote ukatembelee wagonjwa..ili upate ibra na uelewa wa Ulimwengu...

MWARAABU wa TANZANIA na kutakia kheri.
ZZ
 
Nope sio ajali ya gari....., niliangalia video yake akisimulia alivyopata hayo matatizo... walikua wana dive huko Tanga katika bahari ndio akajigonga katika mwamba na tangu siku hiyo amekua wa kitandani tu... Story yake inasikitisha nakumbuka I cried that day
Mkuu, hebu weka hiyo video tuone vile anavyosimulia, huenda tunaweza pata huruma ya kumsaidia.
 
MBAGUZI WA RANGI NAMBA MOJA DUNIANI NI MWAFRIKA SEMA NI KUWA MWENYEZI MUNGU ALICHEZA KAMA PELE AKATUWEKA WA MWISHO AKAWAJALIA WAZUNGU, WAARABU NA RACE ZINGINE ILA TRUST ME MWAFRIKA ANGEKUWA KAMA MZUNGU KUANZIA UWEZO, AKILI NA KILA KITU HII DUNIA ISINGETAWALIKA

TRUST ME

WEWE UNADHIHIRISHA UPUMBAVU WETU NA UKOSEFU WA UTU..
Huwezi kuwajudge waafrika wote kwa maoni ya mtu mmoja,pia itambue vizuri historia ya dunia yako,unawajua Ku Klux Klan? unakijua walichofanyiwa wahindi wekundu na wazungu?unaijua apartheid policy au caste system ya Indian? sasa hayo yote na mengine mengi hayajafanywa na waafrika then we unadiriki kujitukana.
 
Ahmed Albaity (On fb)

Dear brothers and sisters.
Assalaam alaykum.
Sifa njema zote anastahiki Allah(sw).Pia
shukrani kwa wote ambao wamekuwa
bega kwa bega nami bila kujali usumbufu
wangu kwao. Ndugu zangu kwa muda sasa nimekuwa
nikiwasiliana na madaktari wa hospitali
iliyoko china( Beijin Puhua international
hospital). Baada ya kuielezea hali na
kuwapelekea ripoti zangu za
afya,walinitumia majibu na kunieleza kuwa wameshafanya kesi nyingi kama
yangu na hivyo wanaweza kutibu kwa
kutumia njia zote mbili yaani ya kisasa na
Asili.Tiba itakayofanyika inaitwa STEM
CELL TREATMENT.Ambapo baada ya
hiyo kufanyika yafuatayo yaweza kuwa ni matokeo;
1.kurudi kwa hisia chini ya jeraha.
2.kuimalika kwa misuli ya mwili
3.movement ya viungo
4.kuweza ku control haja kubwa na
ndogo n.k GHARAMA YA TIBA HII NI DOLLA
50,000/=
HIVYO WAPENDWA BROTHERS NA
SISTERS,KWA UNYENYEKEVU
NAOMBA MSAADA WENU WA KIFEDHA
ILI NIWEZE KUPATA TIBA. NAMBA YANGU YA SIMU(TIGO PESA)
+255715681380 na +255745 566 046
(M-PESA)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom