ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 20,209
- 29,413
Mvujo wa damu nyingi.....alisikika mfagizi mmoja wa mwananyamala hospitaliWataalamu hebu watoe elimu ili kina Dada wasi risk maisha yao,
Kipi kinafanya wafe kwenye kuongeza makalio? Hua ni operation wanayakata na kisu? Je damu nyingi huvuja? Maswali ni mengi ila kinachopelekea hasa kifo kwenye hiyo operation hua ni nini?