Mtangazo ya magodoro yamekosa uhalisia

Mtangazo ya magodoro yamekosa uhalisia

Hivi kwann mnakosa ubunifu? Hamjui mnatukera kila mnapotuwekea matangazo yenu... Eti tembo anarukaruka juu ya godoro.. Too unrealistic..
Hata mimi nilijaribu kuwaza kwa sauti kama wewe ila sijapata jibu...ngojea waje madesigner wa hilo tangazo.
 
wanashindwa hata ku google waige idea kwa wenzao youtube huko matangazo tangu enzi za lile la 'watakucheeka' ni ya ajabu ajabu tu quality mbovu idea mbovu selection ya characters mbovu duuh wa waombe designers wa matangazo ya simu angalau
 
Mnalalamika sana ila tatizo ni bajeti ya kutengeneza tangazo
 
Ujinga ujinga.. Mwingibe eti anasafiri na godoro..
 
wanashindwa hata ku google waige idea kwa wenzao youtube huko matangazo tangu enzi za lile la 'watakucheeka' ni ya ajabu ajabu tu quality mbovu idea mbovu selection ya characters mbovu duuh wa waombe designers wa matangazo ya simu angalau
Sasa wakisaidiwa na designer wa mtandao wa tigo si itakuwa ni sheeeeeedah?.....nadhani itakuwa "lala ulaliwe"
😀😀😀😀😀
 
Wana mambo ya ajabu sana

GSM FOAM Advert - WACHAMBAJI MAARUFU DAR NA GODOR…:
 
Hivi kwann mnakosa ubunifu? Hamjui mnatukera kila mnapotuwekea matangazo yenu... Eti tembo anarukaruka juu ya godoro.. Too unrealistic..
Huwa napata shida sana kuelewa ubunifu wa matangazo mbalimbali ya Television upo wapi hata kwa makampuni mbalimbali. Kuna lile tangazo la PSPF.... Shogaa anamuuliza mwenzie.... Shoti umefanya yote hata kwa mshahara wako ninaoujua??? What a question..... !!!! Khaaa
 
Sasa wakisaidiwa na designer wa mtandao wa tigo si itakuwa ni sheeeeeedah?.....nadhani itakuwa "lala ulaliwe"
😀😀😀😀😀
Like tangazo LA Wagiftishe.... Wagiftishe wape wafurahi.....!!! Unaweza kushangaa na kukereka yote kwa wakati mmoja.
 
Mi nashangaa na lile la mzee majuto yupo polini na gari limeharibika afu katoa godoro
 
Kuna tangazo la tairi la katuni flani ivi wamepata pancha familia nikiliona huwa nacheka sana yule mzee akiongea huku anakatambuno.

Hivi kwann mnakosa ubunifu? Hamjui mnatukera kila mnapotuwekea matangazo yenu... Eti tembo anarukaruka juu ya godoro.. Too unrealistic..
 
Back
Top Bottom