Nimekuwa nikimsikiliza mtangazaji huyu wa ITV Mwaipuge anayeripoti kutoka bungeni sauti yake si ile tuliyoizoea. Ina mkwaruzo Fulani unaoudhi hata kusikiliza, amekula kitu gani? Wahusika hebu lichunguzeni Jambo Hilo, ninaamini Mimi ninavyokereka, wapo na wengine