Mtangazaji wa ITV leo sauti yake ina mikwaruzo sana?

Mtangazaji wa ITV leo sauti yake ina mikwaruzo sana?

Nikiripoti kutoka eneo la tukio ni mimi george malato ITV maraaa
 
Write your reply...hawezi kusema mimi anasema memeeee ni Godfryey Monyo ......duhhhh huwa nacheka sana
 
Yule Mbaba wa bukoba ananifurahishaga na lafudhi yake ya kihaya..Sasa awe anaongea haraka haraka 😂
 
Nimekuwa nikimsikiliza mtangazaji huyu wa ITV Mwaipuge anayeripoti kutoka bungeni sauti yake si ile tuliyoizoea. Ina mkwaruzo Fulani unaoudhi hata kusikiliza, amekula kitu gani? Wahusika hebu lichunguzeni Jambo Hilo, ninaamini Mimi ninavyokereka, wapo na wengine
Amekunywa kongagi
 
Back
Top Bottom