Humu JF tunae Mohammed Miti, so uwe unafafanua Jina zima kwenye Heading
Alitubu kabla hajafa?
Alitubu kabla hajafa?
Bujibuji acha matani banaa..... RIP Mtoi.Alitubu kabla hajafa?
Nawe Itapwa una mamboAlitubu kabla hajafa?
View attachment 71418
Fred alianza kazi ya utangazaji katika Radio Tanzania kabla ya kuja Ulaya kwa mafunzo.
Amekuwa akifanya kazi huku akiendelea na masomo ya shahada ya pili ya masters kwenye digital media katika chuo kikuu kimoja cha London.
Alishiriki katika vipindi muhimu na vilivyopata sifa hasa vya sanaa, utamaduni na jamii kutokana na kuwafahamu wakaazi wengi wa London hasa wenye asili ya Afrika Mashariki.
Alishiriki piya katika matangazo ya kawaida ya habari ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC.
Wenzake katika Idhaa ya Kiswahili ya BBC wanamkumbuka Fred kuwa mtu mwema, mpole, mchangamfu na anayepatana na wote, na ambaye alikuwa mtangazaji tulivu na akishikilia kazi lazima ahakikishe kuwa ameimaliza vema iwezekanavyo.
Matayarisho yanafanywa kusafirisha mwili wake hadi Tanzania
Badilisha heading yako. Andika jina full la marehemu. Kuna Mtoi wengi.. Unatuchanganya.
Mungu amuweke Fredy Mtoi. panapomstahili.
Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele pale alipo kupangia kaka Fred. Sisi sote ni wasafiri katika dongo hili.
*Mliodhani kama ni mimi ndio nimewatoka poleni sana kwa usumbufu wowote mlio upata, bado mwenyezi Mungu hajaamua kuniita*
Tukumbuke, kila nafsi itaonja mauti.
Source:
Hebu tuchungulie hapa:
BBC - Public Service Message
Lala kwa amani yake Bwana wetu Ndg yetu Fred Mtoi