Mtangazaji Mahiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtangazaji Mahiri

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tugutuke, Mar 20, 2012.

 1. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Habari wana Jf.
  Jamani mimi napenda sana utangazaji hasa Tv & Radio Broadcasting. Najijua nina kipaji cha kutosha kutangaza. Sijasomea fani hiyo sehemu yoyote. Kama kuna muhusika humu ndani ya Jf plz naomba anipe chance hiyo. Niko tayari kufanya kazi kwenye kituo cha redio n Tv sehemu yoyote hapa Tz.
  I hope sitamwangusha mtu,na atapenda!
  Nipeni nafasi jamani.
  Niko serious wajameni.
  Na niko tayari angalau kufanyiwa testing ya one month for free.
  0718651174, 0787638644
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  unajua kidhungu?
   
 3. Keen

  Keen JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 620
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kiwango chako cha juu cha elimu ni kipi?
   
 4. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,920
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  msikilizeni jamani kwani siku hizi kusoma ni udhibitisho tuu marifa kwa mkichwa!! Yawezekana jamaa ni jembe sana, na watu wa aina hii ni wakipekee sana, laiti ningekuwa na uwezo ningekutafuta!!
   
 5. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Demo tape? Irushe hapa jamvini.
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Nenda clouds.
   
 7. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  tbc umekosa kazi kweli? mbona hawana watu, ebu jaribu uende pale. Ila shauku yako ya kutaka kutangaza Mungu umuweke mbele ili usijikite kutangaza mambo yanayomchukiza.
   
 8. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Umepotelea wapi Jeryson kuna maswali ya kujibu kiwango chako cha elimu, ufahamu wa lugha yaani Kiswahili na Kingereza, na Je upo mkoa gani kwa sasa ?
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Utafanikiwa tu.
   
 10. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Sasa tokea jana ulikuwa unajizungushazungusha nini!? Ooh kazi ya baa siwezi..
   
 11. M

  MULANGILA Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila kazi ina miiko na maadili yake. Sasa kama hujaisomea hiyo kazi si utavurunda bro?
   
 12. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Clouse wapo wengi wa aina yako nenda pale,mchonvu nae alisema anakipaji kama wewe..
   
 13. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  yah! Nafahamu kidhungu,ila kukijua duh! Hapo kidogo napata utata. Lakini all in all lugha sio tatizo kwangu.
   
 14. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  clouds naona kama kumejaa vile!
  Ntajaribu kuongea na Ruge. Mwenye contacts zake plz.
   
 15. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  sidhani kama ntavurunda mkuu.
  Napiga kazi tu mbona!
   
 16. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Madam T, si nimefunguka sasa!
  Msaada wako sasa.
   
 17. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  AK-47, nipo tu.
  Kuhusu kuelewa lugha,kiswahili na Kiingereza navifahamu tu,kiwango changu cha elimu ni A-Level,
  na nipo Mkoa wa Dsm. Ila naweza kwenda mkoa wowote kupiga job.
   
 18. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  asante sana mkuu,kwa kunielewa nataka nini!
  Be blessed.
   
 19. Mlendamboga

  Mlendamboga JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  yaaa siku hizi ni kutuma demo kwanza haitwi mtu bila kusikia sauti yake labda ngoja nikuandalie script usome halafu record weka jamvini hapa ukifanikiwa kusoma vyema nitakuunganisha mahala moja kwa moja! wengi wameshasema wanaweza wakishafika studio wakajaribiwa hata wakishindwa wanalilia ooooh nitajifunza nitaweza!!! hatutaki hiyoooo nitakutumia scripti kupitia pm yako kesho masaa ya mchana halafu uisome na urekodi kwenye any form ingawa nzuri kwenye software yeyote unayoijua ya sauti iwe fruitloop,adobeaudition,pinacle nk!
  Ni mdau katika sekta hiyo niliyekata shule Afrika Kusini kwenye tasnia hiyo na kufanya practical pale SABC natambua hata harufu tu ya sauti!!!!
   
 20. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Poa poa mkuu! Nitumie halafu nitajirekodi, utanijudge basi.
  Asante sana.
   
Loading...