Mtangazaji Fatma Likwata ananifurahisha sana

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
Huyu sista hunifurahisha sana pale anapokuwa ananarrate habari. Sauti nzuri, ana kasi na huwa hakosei kama mashine vile.Natumaini siku moja tutamsikia VOA, DW, BBC et al.

On other note: Regina Mziwanda punguza kasi ya kuongea. Umekuwa unakoseakosea sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom