Mtangazaji anahitajika

Mtangazaji anahitajika

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,202
Reaction score
25,378
Nafasi moja ya mdada wa kike ambaye ana ujuzi (hata kama huna cheti) wa kuweza kuitazama camera na kufanya interview kwa watu mbalimbali, ambaye anaweza kujituma katika kazi basi nafasi ni moja na inamsubiri.
SIFA: soma kwa utaratibu hiyo post inajieleza.
ZAIDI: ukiwa tayari ni PM.
=================================
UPDATES:
Kwa wale tuliowasiliana kuhusu hii issue hapo juu tafadhari kesho tuonane pale MARYLAND mwenge unashuka kituo cha ITV, ukitokea makumbusho ni upande wa kushoto, but ukitokea tegeta au Ubungo unavuka barabara na uliza hilo jina utaelekezwa ni hatua chache toka kituo cha basi.

Tumefanya hapo kutokana na wengi kuomba tuangalie jiografia ya wengi wanapotoka na umbali.
KARIBU.
 
Nilikujibu mkuu na kesho ndiyo tunaonana, ukishuka pale itv uliza MARYLAND ilipo na tutaonana hapo, saa 1100hrs.

mkuu, mbona mpaka sasa eneo la tukio hakuna dalili za kufanyika interview? mbona watu wa hapa hawana taarifa kwamba kuna interview inafanyika leo saa tano?
 
Back
Top Bottom