Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 494
KESHO J.MOSI (TAR.04.06.2016) LAND MARK HOTEL, UBUNGO~ DAR ES SALAAM.
MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA (TSNP) UTALIHUTUBIA TAIFA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI (PRESS CONFERENCE) KUHUSU SAKATA LA UKIUKWAJI WA UTU NA HAKI ZA WANAFUNZI ULIOTOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA.
Muda: Saa 4:30 Asubh-5:30 asubuhi
Baada ya idara ya Utafiti na Mafunzo (TSNP Research and Training depertment) kufanya utafiti wa kina juu ya sakata la kusimamishwa masomo Wanafunzi wa UDOM (SPECIAL PROGRAMME) tangu agizo la serikali la kuwasimamisha masomo lilipotolewa TAR. 28.05.2016.
Mtandao wa Wanafunzi Tanzania utalihutubia taifa hapo kesho katika Mkutano na waandishi wa habari kuhusu UKIUKWAJI WA HAKI NA UTU WA WANAFUNZI WA UDOM. Aidha Mtandao huu utaongelea Kansa kubwa iliyopo katika Sekta ya Elimu nchini.
Wawakilishi wa Wahanga (WanaUDOM waliofukuzwa) watakuepo kueleza ukweli wa mambo.
TSNP~ TUTASEMA UKWELI NA KUTETEA HAKI NA WAJIBU WA WANAFUNZI TANZANIIA
Na:
Katibu Mkuu@TSNP
tsnpstudents@Yahoo.com