superfisadi
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 553
- 52
niko a town , hata watu wengine naowatafuta wa voda nao wanalalama hivyohivyoUko maeneo gani?mbona mimi natwanga tu.
huku A town bado inasumbua inawezekana mitambo yao imezidiwa kwa hiyo wanatoa huduma kwa mgaoKuna jama yangu yupo Kanda ya ziwa nadhani Geita yeye ni Engineer wa Voda anasema kulikuwa na Outtage ya Network huko, km upo huko nadhani ndo umepata hayo madhara lkn ananiambia sas hivi mambo mswano
Mimi ni mtumiaji wa mtandau wa voda wa siku nyingi lakini napenda nikiri voda siku hizi wamezidi kwa uchakachuaji; promotion nyingi wanazofanya ni mageresha tu, ukipiga simu wanachelewesha maksudi kukuunganisha ili hela zako zianze kutumika kabla hujazungumza, hata umalizapo kuongea hali ni ile ile n.k, n.k. Kwa hali hiyo nimefikia uamuzi wa kuachana na mtandao huo.
watuwekee line za kuwatukana Customer Care!Dawa ni kuwa na line ya kila mtandao wakikuzingua voda unaweka tigo,Airtel, Zantel....