mtandao wa voda noma

superfisadi

JF-Expert Member
May 22, 2009
553
52
jamani kama kuna siku nimeudhika ni leo , mtandao wa voda unakera sana tokea saa tatu asubuhi napiga simu haziendi inabidi nitumie mtandao mwingine kuwasiliana na watu wa voda hivyo unanizidishia makali ya maisha kwani inaongeza bajeti ya voucher .
kama kuna watu wa voda humu rekebisheni si mambo haya
 
tumia tigo ndugu usijilazimishe kutumia mitandao isiyokutaka
 
Kuna jama yangu yupo Kanda ya ziwa nadhani Geita yeye ni Engineer wa Voda anasema kulikuwa na Outtage ya Network huko, km upo huko nadhani ndo umepata hayo madhara lkn ananiambia sas hivi mambo mswano
 
use tigooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kuna jama yangu yupo Kanda ya ziwa nadhani Geita yeye ni Engineer wa Voda anasema kulikuwa na Outtage ya Network huko, km upo huko nadhani ndo umepata hayo madhara lkn ananiambia sas hivi mambo mswano
huku A town bado inasumbua inawezekana mitambo yao imezidiwa kwa hiyo wanatoa huduma kwa mgao
 
Mimi ni mtumiaji wa mtandau wa voda wa siku nyingi lakini napenda nikiri voda siku hizi wamezidi kwa uchakachuaji; promotion nyingi wanazofanya ni mageresha tu, ukipiga simu wanachelewesha maksudi kukuunganisha ili hela zako zianze kutumika kabla hujazungumza, hata umalizapo kuongea hali ni ile ile n.k, n.k. Kwa hali hiyo nimefikia uamuzi wa kuachana na mtandao huo.
 
lugha kweli imepanuka kama mtandao wa tigo yani nilivyoona mtandao wa voda noma nikajua noma ya kumaanisha babu kubwa kumbe uozo...haya napita
 
Mimi ni mtumiaji wa mtandau wa voda wa siku nyingi lakini napenda nikiri voda siku hizi wamezidi kwa uchakachuaji; promotion nyingi wanazofanya ni mageresha tu, ukipiga simu wanachelewesha maksudi kukuunganisha ili hela zako zianze kutumika kabla hujazungumza, hata umalizapo kuongea hali ni ile ile n.k, n.k. Kwa hali hiyo nimefikia uamuzi wa kuachana na mtandao huo.

Utaratibu wao wa moderms ni wizi mtupu, mimi walikata bunlde yangu yenye 1.6GP almost TZS40,000. Ukipiga customer care kila siku hadithi tofauti. wameniudhi na nitahama soon.
 
Dawa ni kuwa na line ya kila mtandao wakikuzingua voda unaweka tigo,Airtel, Zantel....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom