Lawrence Luanda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 703
- 77
Mrembo faiza tafadhari punguza chuki zako kwa Nyerere aliyoyafanya yanatosha sana kwa kipindi hicho na ukiangalia kesha kua marehemu mwache apumzike huko aliko ni hayo tu mrembo. Kidumu Chama cha mapindunzi
Hivi wamarekaniwamekuwa JK siku hizi?Wajapan na wengine waliomwaga hela..tayari siku hizi wamekuwa CCM?Unayo shida kujidanganya hivi..?hivi mnashangilia nchi kufilisiwa na uongo mwingine..hujui kuwa hazina ikizidi kauka,NSSF nayo ikikauka wavaa vibakuli..na kutembea na ndizi watakosa sana udugu wa long time friends km Mnubi DAU? Mnafurahia nchi kukauka wakati mnajua kuwa Viwavi jeshi vingi vya mazao ya walio haramu ni nyie...Kikwete Juu zaidi. Fikiri, 10% hiyo ni kuanzia Mkoloni, Nyerere miaka 24, Mwinyi 10, Mkapa 10 Kikwete pekee kafanya asilimia 26 kwa miaka 8 tu. Waliomtangulia, jumla ya miaka 44 hata nusu yake wameshindwa kufanya halafu mijitu humu "nyerere, nyerere, nyerere" hata haya haioni wala vibaya haijui. Jamani hii katiba ibadilishwe haraka Kikwete aendelee japo kwa miaka 10 mingine. Anachapa kazi si mchezo, kila kitu kafanya zaidi ya wote waliomtangulia kwa maendeleo ya nchi.
nadhani wewe ndio ulikuwa haupo....nimechangia kila kitu shida ni kwamba .mnachangia pumba sana kwa majina tofauti hadi michango ya maana hamuionileo sijakuona kabisa kwenye mijadala ya kule kalenga. au uko sehemu unapata mbege? kwa taarifa yako mmeshinda kule kalenga kwa kishindo >80%! Hongereni!
Hivi wamarekaniwamekuwa JK siku hizi?Wajapan na wengine waliomwaga hela..tayari siku hizi wamekuwa CCM?Unayo shida kujidanganya hivi..?hivi mnashangilia nchi kufilisiwa na uongo mwingine..hujui kuwa hazina ikizidi kauka,NSSF nayo ikikauka wavaa vibakuli..na kutembea na ndizi watakosa sana udugu wa long time friends km Mnubi DAU? Mnafurahia nchi kukauka wakati mnajua kuwa Viwavi jeshi vingi vya mazao ya walio haramu ni nyie...
Labda nikusaidie zaidi kufikiri.....hata ubalozi wa Marekani wa kudumu umejengwa kipindi cha JK....?Kwani wakati wa Nyerere, Mkapa na Kikwete kulikuwa hakuna Wamerekani? Hujui Tulivyoketewa unga wa "yanga" na wamerekani? kutunusuru kufa wakati wa Nyerere? Kama hulijui hilo, pole sana. Jifunze kuandika.
Kikwete Juu zaidi.
Fikiri, 10% hiyo ni kuanzia Mkoloni, Nyerere miaka 24, Mwinyi 10, Mkapa
10 Kikwete pekee kafanya asilimia 26 kwa miaka 8 tu. Waliomtangulia,
jumla ya miaka 44 hata nusu yake wameshindwa kufanya halafu mijitu humu
"nyerere, nyerere, nyerere" hata haya haioni wala vibaya haijui.
Jamani hii katiba ibadilishwe haraka Kikwete aendelee japo kwa miaka 10
mingine. Anachapa kazi si mchezo, kila kitu kafanya zaidi ya wote
waliomtangulia kwa maendeleo ya nchi.
This is a joke!! Baada ya miaka zaidi ya 50 ya uhuru unachekelea na kuja hapa mbio eti watanzania 36% ndo wanatumia umeme? tena wa mgao? Ningeelewa kama huyo Prof wa ''gesi na matusi kwa waTZ'' (maana toka apewe wizara yeye ni gesi tuu na kutusi waTZ kwamba ni wavivu wa kufikiri na hawana mitaji ya kuwekeza) angetueleza ana mikakati gani ya kupambana na mikataba feki na ya kifisadi ya makampuni ya kuzalisha umeme hewa (IPTL na mengine) yanayoikamua TANESCO (ambayo inahamishia mzigo kwa mlala hoi) mabilioni kila kukucha; atueleze yale mabilioni yaliyochotwa kinyemela majuzi kutoka kwenye akaunti ya mfuko maalumu iliyoko benki kuu (Escrow account) zimekwenda wapi?; atueleze ile kauli mbiu yake kwamba mgao wa umeme utabaki historia alikuwa anamdanganya nani?
Swala la msingi ni hiyo 36% ni UONGO. Toa evidence kama ni kweli. Huwezi KUDAI tu ni 36% wanapata umeme na ikawa ni UKWELI. Toa rejea ya utafiti uliothibitisha hilo ili na sisi tuuangalie tujiridhishe.
Labda nikusaidie zaidi kufikiri.....hata ubalozi wa Marekani wa kudumu umejengwa kipindi cha JK....?
Una matatizo makubwa sana ya kukubali kuwa Kikwete anafanya kweli. Kwanini?
Kusoma huwezi basi hata picha huoni?
Tembelea hapa:News Center
Wewe unaweza kuta ni first lady wetu! Hizi id bwanaa! Dah
Wewe kusoma huwezi basi hata picha huoni?
Unajuwa ni MW ngapi za umeme zipo njiani zinajengwa sasa hivi? Tazama picha kama kusoma huwezi:
Wentworth Resources reported that on Thursday, 8 November 2012, His Excellency Jaykaya Kikwete, President of the United Republic of Tanzania, laid the foundation stone at the Kinyerezi Gas Receiving Station for the start of construction of the Mnazi Bay to Dar es Salaam Gas Pipeline Project. The 532 km pipeline and its associated facilities are expected to be completed and commissioned in approx. 18 months. Wentworth and its Mnazi Bay partners are in the process of finalizing a gas sales agreement to supply 80 mmcf/day of gas to this pipeline and have been asked by TPDC to increase this amount to 200 mmcf/day as soon as practicable.
Wentworth Resources has also announced that the Mnazi Bay Concession partners are preparing to award a contract to acquire approx. 210 sq km of offshore 3D seismic over the Mnazi Bay Concession. The work to acquire new seismic data is expected to start before the end of the year. The acquired data will derisk currently existing offshore leads and map potential extensions to the offshore discoveries made by BG Group and Ophir in the adjacent Offshore Block 1. The purpose of acquiring the new 3D seismic data, and the ongoing work to fully reassess all existing concession geology and geophysics data, is to prepare for upcoming development and exploration drilling.
Executive Chairman, Bob McBean, commented:
- 654 × 464 - Search by imageTanzania government have purchased two generators worth Tshs 41.6 billion each with the capacity to produce at least 75 Megawatts using gas.
afkinsider.com- 620 × 350 - Search by imagegas-fired_power_plant. From iOL. The Development Bank of Southern Africa is lending Tanzania $314 million for two power plants, South Africa's treasury said ...
Kikwete Juu zaidi.
Fikiri, 10% hiyo ni kuanzia Mkoloni, Nyerere miaka 24, Mwinyi 10, Mkapa 10 Kikwete pekee kafanya asilimia 26 kwa miaka 8 tu. Waliomtangulia, jumla ya miaka 44 hata nusu yake wameshindwa kufanya halafu mijitu humu "nyerere, nyerere, nyerere" hata haya haioni wala vibaya haijui.
Jamani hii katiba ibadilishwe haraka Kikwete aendelee japo kwa miaka 10 mingine. Anachapa kazi si mchezo, kila kitu kafanya zaidi ya wote waliomtangulia kwa maendeleo ya nchi.
Kikwete Juu zaidi.
Fikiri, 10% hiyo ni kuanzia Mkoloni, Nyerere miaka 24, Mwinyi 10, Mkapa 10 Kikwete pekee kafanya asilimia 26 kwa miaka 8 tu. Waliomtangulia, jumla ya miaka 44 hata nusu yake wameshindwa kufanya halafu mijitu humu "nyerere, nyerere, nyerere" hata haya haioni wala vibaya haijui.
Jamani hii katiba ibadilishwe haraka Kikwete aendelee japo kwa miaka 10 mingine. Anachapa kazi si mchezo, kila kitu kafanya zaidi ya wote waliomtangulia kwa maendeleo ya nchi.