Kampuni ya meta inayomiliki mtandao wa Threads wanakuletea feature mpya mbili Kwenye huo mtandao.
Watumiaji wa threads mnaletewa feature ya kuweza kuediti post ambayo umeshaituma kama ilivyo Kwenye mitandao mingine kwani mwanzoni ilikua ngumu kuediti post uliyotuma.
ilikua lazima ufute ndo utume tena ila Sasa utaweza kuediti post uliyotuma ukakosea.Lakini inakupa limit ndani ya dakika 5 TU za mwanzo ndo utaweza kuediti post uliyokosea kutuma Kwenye huo mtandao.
ikitokea umefanya editi kwa juu Kuna alama Kwenye post itakayoonyesha kuwa imekua editi.
Pia wanaleta feature nyingine inaitwa "voice Threads" inampa mtu uwezo wa kutuma ujumbe wa sauti Kwenye post zake kama ilivyo Whatsapp.