Mtandao wa ngono!..

sioni tatizo la kukwaa kijiji kizima bali tatizo hapa litakuwa ni foleni kwa babu loliondo
 
daah sina haja ya kusoma comment za watu hii nayo noma daaaaaaaah
 

Mtandao wa ngono huo
 
Hapo kweli
 
mara nyingi kwa uvivu tunatolea mfano wazaramu, kwa ubaghili na mambo ya pesa tunawasukumia wachagga, masuali ya kujitoa muhanga tunawasukumia wahehe, masuali ya ngono wahaya, mambo ya wachawi tunawasukumia wale wa sumbawanga na kule bagamoyo kwa hio hilo kawaida Tz
 
ha hahaaaaaa, kazi kweli kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Utadhani utani vile, hakuna noma tutasahau na maisha yataendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…