QUOTE="The Humble Dreamer, post: 34913975, member: 331067"]
Njoo Vodacom kama umejipanga kiuchumi. Huku hakuna mteremko kama huko halotel. Kama unataka voda, hakikisha kila siku unaingiza hela.
[/QUOTE]
Wewe unaingiza ngapi kila siku
Ulikuwa ni mtandao mzuri kwa kweli kwa upande wangu,
Bundle la data la sh 10,000 nilikuwa natumia mwezi mmoja lakini kwa sasa hata wiki halikatishi.
Nafkiria kuitupilia mbali kule halotel nihamie mtandao mwingine.
Mkuu unatakiwa kuwa na line za mitandao yote, upepo ukivumia VODA unaliunga, wakirudi TTCL umo, wakileta offer halotel ummo, wote wakizingua unahania airtel yaani mwendo mdundo full kubadili
voda gharama siziwezi mkuu , hua nikitumia huo mtandao nakutana sana na sms za kifurushi kimeisha afu hua sizipendi, TTCL na tigo sijawahi kutumiwa sms za kifurushi kuisha nina kama mwaka
hao ni wahuni alafu network yao ya kidwanzi yani 3G yao ni bora na E ya voda au tigo,mtu unanunua Gb zako afu mtandao upo slow na ukiwa afadhali unastukia zimekata tu