Mtandao wa halotel na kuchemka kwa simu

Mtandao wa halotel na kuchemka kwa simu

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,742
Reaction score
3,319
Habari wakuu

Me ni mmoja wa watumiaji wa mtandao wa halotel Tanzania
Lakini katika uchunguzi wangu nimegundua nikiwa natumia data simu inachemka sana tofauti na mitandao mingine kama Tigo nk

Je ni simu yangu tu au kuna walakini juu ya hili?
 
Mara nyingi kuchemka kwa Simu au bettry ya simu Kwisha mapema kuna hashira kuwa kuna massive data download/upload inafanya kazi....
kuna mwaka Saud Arabia watumiaji wa simu za Blackbery walikuja gundua kuwa simu zinachemka sana na bettry inaisha haraka.....Ikaja gundulika kuwa Serikali kushilikianana Etsalat wameweka software inayonyonya meseji,picha n.k kupelekea kwenye computer moja huko Serikali....Sina huakika lakini huenda mtandao umedukuliwa na wajanja wakuiba IDs, bank details etc..so wapo wanafanya yao....ni mawazo yangu kutokana na nnachokijua.Usinikariri vibaya
 
Hii kitu kweli ipo na kuna mtu ashawahi kunipa maelezo mazuri sana kuhusu hii kitu, yeye alinielezea kwa upande wa network bands jinsi zinavyoweza kupelekea simu kupata moto sana ila tu nimeyasahau! Na hii hali nime experience navotumia airtel simu inapata joto sana na mtandao wao haupo stable kama nikitumia tigo naonaga vitu vinaenda smooth na hata simu haipati joto lingi kuliko airtel. Mwenye kuelewa hii kitu vizuri angetuelezea!
 
Kbsa mkuu
 
1. Kama network bar haijajaa simu yako itasearch network muda wote hivyo kupelekea kula chaji zaidi.

2. Halotel haina Wcdma/3G ya mwanzo ambayo mitandao mengine huitumia kama standby ikiwa hutumii data hii haili chaji kama HSPA ama HSPA+ ambayo kwa mitandao mengine hutumika pale unapotumia data tu ila kwa halotel inakuwa on utumiapo ama usipotumia.
 
Asante mkuu
kwa hyo hili ni tatizo la kimtandao cndio?
 
Back
Top Bottom