Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Tangu Alfajiri Hii Si Internet wala Normal Calls Zinaenda!
Hapo Fanyeni Maarifa,Mjue Nyie Mkombozi wa Wakulima na Wafugaji Tunao Kaa Maporini na Ng'ombe Na Kufukuza Ndege Katika Mashamba Yetu
Nisaidieni!
Sie Wakulima na Wafugaji Ndiyo Wapenzi Wakubwa wa Huu Mtandao,Hakuna Pori na Vijiji Utakapo Kwenda Ukawa Offline!
Mfano Kuna Mtaturu Wangu Kule Makao Mtandao Huu Unamsaidia Kuwasiliana na Mfanyakazi wa Mwiba Game Reserve Pale Ng'ombe Wangu Wanapo Vuka na Kuingia Katika Pori Aende Haraka Kuwatoa Wasije Dunguriwa na Maaskari wa Hifadhi! Jamani,Kuna Mbuzi Nataka Niwatume Toka Makao Waletwe Hapa Mjini Ili Niwauze Katika Mnada wa Hapa Mwanhunzi!
Tafadharini Sana!
Karibuni Nyama ya Ngiri