Qualifier
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,252
- 408
Wapendwa wa JF,
Leo hii nimefanyiwa kitendo cha dhuluma na mtandao wa simu wa airtel, mtandao nilio utumia kwa takribani miaka 15 leo wameamua kunihujumu.
No wazi kwamba wanadhani kwa kudumu kama mteja wao kipindi kirefu hivi Mimi ni mateka wao siwezi kuhama mtandao kumbe la, Jana nilinunua muda wa maongezi Tsh. 2200/= kwa lengo la kijiunga na kifurushi cha INTERNET cha GB 1 wakati ninaunganisha nikambiwa salio halitoshelezi, nilipo angalia salio nikaona kuna Tsh. 85 badala ya Tsh. 2200.
Nilipo piga customer service nikambiwa tatizo langu lita shughulikwa muda mfupi. Nikaamua kuahirisha kazi niliyotaka kufanya , nimerudia kupiga asubuhi hii ninaambiwa subiri dakika chache baada mhudumu anakata simu.
Ninajua humu JF wapo wafanya kazi wa company hili wajue nimekasirika na wajue Mimi kudumu miaka 15 kama mteja wao sio mateka wao ninaweza kuhamia mtandao itakayo nijali sio kuniibia hela halafu hawatoi majibu na kukata simu HUU NI UHUNI!