Watchtower
Member
- Sep 18, 2022
- 93
- 182
Tigo Tanzania siku hz wameboresha sana huduma zaoWakuu, Mimi Simu kadi yangu namba moja ni Airtel, Nimekuwa na Chip hii for years ila kwa sasa ni almost mwaka mtandao wa Airtel hauko stable kabisa, Unasumbua sana kwenye Mawasiliano ya Calls kuna wakati humsikii mtu au wote hamsikilizani
Nataka ni opt kuachana nao niubakize kwenye data tu (Internet) kwani uko bado wanafanya vizuri je mtandao gani ni mzuri kwa maeneo ya kanda ya Kati na Pwani ndo maeneo muda mwingi nipo
Nihamie wapi MkuuMtandao wa wazee huo
Sio kuwa tigo nao covarage yao ni mjini zaidi?Tigo Tanzania siku hz wameboresha sana huduma zao
Data,calls wapo vizuri sana
Ingia huko hautojutia
Asante kwa ushauriUmechelewa sana. Kwa sasa Vodacom hawana mpinzani hapa Tz
hao jamaa lastseen humu ni 2020
😂😂😂😂😂hao jamaa lastseen humu ni 2020
Hapana hadi interior huko wamepenyaaSio kuwa tigo nao covarage yao ni mjini zaidi?
hatari sana ,mtandao ambao ni wa uhakika nchi hii ni vodacom pekeyake kuanzia huduma za pesa nk😂😂😂😂😂
Ukute na wao mtandao unawasumbua.
Covarage yao ikoje vijijini?hatari sana ,mtandao ambao ni wa uhakika nchi hii ni vodacom pekeyake kuanzia huduma za pesa nk
Voda wako vizuri internet 🔥🔥🔥🔥VodaCom utakua uchaguzi sahihi.
Kama unatumia simu nzuri ambayo inaendana na teknolojia ya kisasa basi bila Shaka hautopata tatizo ukitumia huduma zao.
vizuri sanaCovarage yao ikoje vijijini?
Yaani vjjn hata uliulizia tu vocha wanakushangaa.Sio kuwa tigo nao covarage yao ni mjini zaidi?
Voda bei za vifurushi sio rafiki hata kidogo!Umechelewa sana. Kwa sasa Vodacom hawana mpinzani hapa Tz