• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mtandao huu wakuidhoofisha chadema upo na wasaliti ndo hawa

K

kaka h

Member
Joined
Sep 6, 2010
Messages
38
Points
0
K

kaka h

Member
Joined Sep 6, 2010
38 0
Tazama kwa makini mtiririko wa matukio ya viongozi kujiuzulu na sababu zao za kujiuuzulu na staili zao za kujiuzulu.....

Matamko licha ya kwamba yanafanana nakutofautiana tu katika mzaingira yanapotolewa!!!! Pale ambapo kuna misingi imara ya Chadema utaona mbinu mpya ya kuyatoa ikutumika pale palipokua lege lege basi hutolewa na watu w amtandao.......

Ukiangalia Mwanza utagundua kuwa uongozi ulikua imara na msimamo wake na nashawishika kuamini kwamba wanamtandao waliamua kutafuta namna mpya ya kupenyeza tamko lao na eti wakaunda umoja wa matawi ambao awali hakuwepo na wala hautambuliki ili mradi tu kutafuta justfication ya tamko lao na walipo litoa halikutofautiana na yale ya wengine...

Ukienda Singida ndo vituko zaidi Mwenyekiti anajiuzulu na wakati huo huo anatoa tamko la mkoa!!!!!! Haya ndo mazingira tata zaidi!!!

patamu zaidi ni kwamba hawa wanamtandao wanafahamu fika wakijitoa Chadema watakusa platform yakupaza sauti so ndo maana hawajivui uanachama na lengo lao nikuleta vurugu tu ndani ya chama na sioni sababu yakuendelea kuwavumilia!!!!

kwa mtiririko wa matukio haya naamini hawa wanaolalamika kuitwa wasaliti ni wasaliti kweli na mpango wao ulibumbuluka kabla ya mda tu!!......Shame On you all!

WASALITI NDO HAWA WANAO RATIBU MATAMKO FEKI WACHUKULIWE HATUA HARAKA!!!!!
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,387
Points
2,000
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,387 2,000
Kuna kile kipindi cha Eda waumini wa kiislamu wanakifahamu vyema ambapo mwanamke mfiwa ama mjane utakiwa kukaa miezi3 kwa heshima zote na tahadhari kama kumuenzi mmewe na kutokufanya mabaya yoyote, ila katika kipindi hiki kuna baadhi yao uamua kwenda kinyume zaidi na hari hiyo na kupelekea matatizo kwenye jamii husika,kwangu namwona ZZK kuwa kama mwanamke wa staili hiyo
 
W

WaKijita

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Messages
590
Points
170
W

WaKijita

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2013
590 170
Walichelewa cdm haiwezikufa namna hiyo wajipange tu, cdm inaviongoz imara ndo maana magamba wanataka watoke ili mipango yao isonge maana viongoz wa cdm wako imara
 
B

Byendangwero

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
872
Points
0
B

Byendangwero

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
872 0
Bila ya kuchukua hatua za haraka kumvua ZZK uanachama ataendelea kuyumbisha chama.
 
S

sukankanwa

Member
Joined
Nov 20, 2013
Messages
92
Points
0
S

sukankanwa

Member
Joined Nov 20, 2013
92 0
Hao viongozi wanaojiuzulu si wajitoe na uanachama,wao wanadhani wakijiuzulu ndiyo cdm itayumba,kamwe haitayumba ila hiyo misukule ndiyo itayumba.
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
35,382
Points
2,000
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
35,382 2,000
Kuna kile kipindi cha Eda waumini wa kiislamu wanakifahamu vyema ambapo mwanamke mfiwa ama mjane utakiwa kukaa miezi3 kwa heshima zote na tahadhari kama kumuenzi mmewe na kutokufanya mabaya yoyote, ila katika kipindi hiki kuna baadhi yao uamua kwenda kinyume zaidi na hari hiyo na kupelekea matatizo kwenye jamii husika,kwangu namwona ZZK kuwa kama mwanamke wa staili hiyo
sio wafiwa tu hata walioachika wanapaswa kukaa eda nyumbani kwa mume kwa matarajio kuwa mume anaweza kumrejea tena... na ndio wakifanyacho
 

Forum statistics

Threads 1,403,379
Members 531,207
Posts 34,421,834
Top