Mtandao gani una internet ya uhakika?

Mtandao gani una internet ya uhakika?

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,400
Naomba nisaidiwe cellular network gani ina reliable signals za internet? Maana vodacom naona ni shida mnoo, huwa najiunga 30days plan kwa 25,000/=. Toka day 1 mpk ya 30 hakuna tofauti ya data trafficking inakua ya kukatika na kuja mda wote.

Je kuna mtandao mbadala ninaoweza pata signals za internet vizuri bila interruption? Hata km ni premium price kwa to plan zao please nisaidieni.

Asante
 
Wasiliana kwanza na customer care wa Vodacom wajue tatizo lako. Siku za karibuni mtandao wao umeanza kusumbua,
 
Mtandao gani una internet ya uhakika?

Pole kaka Msigwa, hauko peke yako, na sie twahangaika kupata huduma bila kujali gharama, ila jaribu Airtel, kidogo, na kidogo tena, iko na unafuu, pamoja na kwamba zile GB za mwezi sidhani kama zitakufikisha, ila hao Airtel wanakaunafuu nafuu..
 
I can tell you, mtandao bora wa internet ni vodacom ukifuatiwa na airtel.

Nimetumia tigo kwa miaka 12 sasa mtandao ulikuwa mbaya sana hasa ikitokea upo mikoani au unasafiri, signal unaipata ukiwa kwenye miji mikubwa.

Nikahamia airtel nikakutana na speed ndogo na inayoboa sana.

Nikahamia vodacom, this is the best, speed ipo fasta, hakuna lags kwenye loading/buffering. Unaweza kupata internet all the way from Dar to Mbeya/Arusha.
 
case ya internet coverage & speed kwa nchi yetu inategemeana na location uliyopo
haiwezi kuwa katika speed moja katika maeneo yote, inatokana na kampuni husika
imewwkeza kiasi gani katika mitambo hususani katika eneo husika mfano speed ya internet
ya tigo ukiwa Dar hasa city center ni ya kasi sana ukilinganisha na anayetumia tigo
akiwa kigoma, kama ni kwa matumizi ya computer basi fanya hivi, tafuta universal modem
au wfi router fanya majaribio kwa mwezi mmoja, katika wiki ya kwanza nunua unlimited bundle
ya wiki kwa mtandao mmoja kati ya voda,tigo na airtel baada ya wiki nunua bundle kwa mtandao
mwengine baada ya kumaliza wiki hizo 3 fanya analysis yako kubaini ipi itakufaa zaidi
 
Asante sana mwenyezi Mungu akujaalie nimependa maelekezo yako, wakora sana
 
Pole kaka Msigwa, hauko peke yako, na sie twahangaika kupata huduma bila kujali gharama, ila jaribu Airtel, kidogo, na kidogo tena, iko na unafuu, pamoja na kwamba zile GB za mwezi sidhani kama zitakufikisha, ila hao Airtel wanakaunafuu nafuu..

Asante sana! Ngoja ntachek option zote, airtel na zantel. Tigo huku sio user friendly kama Dar
 
I can tell you, mtandao bora wa internet ni vodacom ukifuatiwa na airtel.

Nimetumia tigo kwa miaka 12 sasa mtandao ulikuwa mbaya sana hasa ikitokea upo mikoani au unasafiri, signal unaipata ukiwa kwenye miji mikubwa.

Nikahamia airtel nikakutana na speed ndogo na inayoboa sana.

Nikahamia vodacom, this is the best, speed ipo fasta, hakuna lags kwenye loading/buffering. Unaweza kupata internet all the way from Dar to Mbeya/Arusha.

Mkuu duh umenivunja tumain kbs maana hiyo vidacom ndio shida kabs! Na ninaishi karibu kbs mnara kama km 1.5 hivi. Unakuta signal bar imejaa kbs lakini inaandika E badala ya 3G hapo net kuipata ni ishu sana. Anyway asante kwa ushauri wako
 
Nimetumia mitandao mikubwa karibu yote nadhani Airtel wana ahueni na ndio nimestick nao sasa hata bei za vifurushi mb wao ni cheap kuliko voda na tigo
 
Back
Top Bottom