Mtandao gani nitapata GB 1 kwa Sh. 1000 kwa wiki?

Mtandao gani nitapata GB 1 kwa Sh. 1000 kwa wiki?

Mtandao bado hujapatikana hadi sasa kwa wakuu?
Yaani we acha tu. Mwenzetu anataka GB 1 kwa 7 siku anakuja mdau anamdokezea GB1 kwa 3 siku na uvizie kujiunga ndani ya siku 3 na ma sms kibao.

Na pia mdau mleta mada amekimbia hajaleta mrejesho au mshindo nyuma(feed back) ameangukia wapi.

Halafu inaelekea halotel ana kimavi/nuksi.
 
Zantel 1GB siku 3....kwa hali ya sasa hii ni rahisi sana mana kwa mtumiaji mzuri wa Internet 1GB ni ndani ya saa 48 zishaisha.
 
Mkuu labda ongea na TCRA wakutengenezee mtandao wako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halotel kwa sasa ndio mwenye jibu la swami lako kwahiyo kama vipi sema waah
 
Airtel ofa yako unapata 1 GB kwa siku 3, pia GB 5 kwa 5,000 siku 5 kwa Dar ,Moro na Dodoma sijajua Mbeya,Mwanza na Arusha. Inakula pole pole kuliko Tigo, Halotel na Voda inapoliwa haraka kama siagi inayeyuka kwenye kikaango.
 
Smartphone offer sijakuta la buku kwa Internet
airtel wanaanzia 3000/ 1.2GB kwa siku 7 au 2000/ unapata 1GB kwa siku 3
p/se tueleweshe hiyo offer ya buku kwa 1 GB tunaipataje baada ya hivi viwango kulalamikiwa juzi Bungeni hii itatusaidia tusiojua kwenye unafuu tukabakia Internet
 
Screenshot_20210223-073939_Messages.jpg
Ttcl unapata 1.2GB kwa siku 5.
Pia kwa Tshs 500 unapata 600MB kwa siku.

Jaribu pia na halotel utapata 1GB kwa siku 7 kwa hiyo Tshs 1000.
 
Gb2 kwa 2000 airtel siku 3
Nafaka upo wapi Mkuu? 2000/ ni 1.2 GB au 1.0 GB airtel kwa siku 3 tu na sio 2GB au siku 7 kwa hiyo 2000/
2Gb ni 5,000/ tuarifiane vifurushi vyako unavipatia wapi huko? au promotion huku Kanda ya kati tunamalizwa kwa kugongwa
 
Ipo option ya 2000 kwa 2 gb nimejiunga leo tena mara 2 ili nipate gb 4 kwa siku tatu
 
Back
Top Bottom