Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,680
- 10,843
Msaada tutani, huu mtandao ninaotumia sasa gharama zimepanda maradufu, nitapata wapi GB 1 kwa buku?
Ila kasi ya internet utajitegenea ....utajua utakakoipataAirtel
kwa 1,000 unapata 1gb,dakika 100 za airtel dakika 10 mitandao yote.. kwa siku 3
na utakapo jiunga kabla ya siku tatu kuisha..zinajilimbikiza..
Huduma hiyo inategemea na line uliyonayo Sio kila line huduma hiyo ipoAirtel
kwa 1,000 unapata 1gb,dakika 100 za airtel dakika 10 mitandao yote.. kwa siku 3
na utakapo jiunga kabla ya siku tatu kuisha..zinajilimbikiza..
[emoji818]Halotel via HaloPesa
Airtel
kwa 1,000 unapata 1gb,dakika 100 za airtel dakika 10 mitandao yote.. kwa siku 3
na utakapo jiunga kabla ya siku tatu kuisha..zinajilimbikiza..
Wameziondoa hiziAirtel
kwa 1,000 unapata 1gb,dakika 100 za airtel dakika 10 mitandao yote.. kwa siku 3
na utakapo jiunga kabla ya siku tatu kuisha..zinajilimbikiza..
Zamani ilikua 2GB kwa buku ikaenda wee wakaona tunafaidi wakashusha ikawa 1GB imeenda bado wameona tunafaidi sana sasa imekua MB500 kwa buku. Mshahara haujapanda mwaka wa sita huu huku gharama za maisha zinapanda daah. Manung'uniko yanaishia moyoni wa kutusikiliza hayupo.Wameziondoa hizi