Mtandao gani mzuri katika internet Tanzania?

malogi1976

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
297
168
Wazima wote?

Naomba mnisaidie nimenunuwa tabs moja yangu na nyingine ya mtoto, nilikuwa nauliza mtandao gani ni mzuri kwa kutumia ambao pesa ya internet itakuwa ya kawaida, nitashukuru nikipata jibu.

Kazi njema
 
Back
Top Bottom