General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
tukiacha na swala la kifurushi je??Mkuu
iPhone Ndiyo Yenyewe Tatizo Ni Moja Kwa Hii Hali Ujue Hiyo Haikubali Kifurushi Cha 500
Bora Uichue Samsung Maana Hadi Mb 10 Twende Kazi
Ni Mtazamo Wangu Tu.
Serious, naomba unipe superiority ya Iphone 6 to Samsung s7. haya mambo ni mageni jamani usishangae sijuiMkuu
iPhone Ndiyo Yenyewe Tatizo Ni Moja Kwa Hii Hali Ujue Hiyo Haikubali Kifurushi Cha 500
Bora Uichue Samsung Maana Hadi Mb 10 Twende Kazi
Ni Mtazamo Wangu Tu.
Kumbe iphone ndo zipo hvyo acha tu niwe team samsung maishaMkuu
iPhone Ndiyo Yenyewe Tatizo Ni Moja Kwa Hii Hali Ujue Hiyo Haikubali Kifurushi Cha 500
Bora Uichue Samsung Maana Hadi Mb 10 Twende Kazi
Ni Mtazamo Wangu Tu.
Mkuu
iPhone Ndiyo Yenyewe Tatizo Ni Moja Kwa Hii Hali Ujue Hiyo Haikubali Kifurushi Cha 500
Bora Uichue Samsung Maana Hadi Mb 10 Twende Kazi
Ni Mtazamo Wangu Tu.
mkuu nimetumia window lumia 540, ofcoz ni nzuri ila sijatumia ios, nataka simu ambayo not much popular afu hata nikiichoka naweza iuza bila hasara kubwamkuu hizo simu zote zinatumia operating tofauti. hapo ni kati ya windows 10 mobile vs android vs ios. kama hujawahi tumia ios wala windows mobile nakushauri tu nenda android.
kuhusu hardware s7 ndio ina hardware kali zaidi hapo, ila lumia 950 nayo itakuwa na camera nzuri na iris scaner.
kweli mkuu, vipi kuhusu microsoft 950xl? kwani nayo huiwezi iona mjini hovyohovyoPia kama ukiwa na iPhone itakupa show off zisizo za kujitakia, when u hold an iPhone every modern man knows u gat apple product, it's so unique. ila samsung haiko unique kiivo, inaresemble na mobile phones zingine kibao tu excluding apple. Thou technically zote ni latest na zinafanya vizuri in terms of performance, camera quality, battery life and so forth.
Kwa bahati mbaya I'm not a fan of windows mobile hata nipewe bure, never ever!kweli mkuu, vipi kuhusu microsoft 950xl? kwani nayo huiwezi iona mjini hovyohovyo
Natumia window mkuu, naona ngumu kuhamaa, ngoja nijaribu iosKwa bahati mbaya I'm not a fan of windows mobile hata nipewe bure, never ever!
Ila Wew kama sio mtu wa mambo mengi sana just go with iOS, ila kama ni mtu wa kuiengage smartphone with a lot of stuffs and other mobile devices i suggest u go with samsung!hahahaha
Natumia window mkuu, naona ngumu kuhamaa, ngoja nijaribu ios
sawa mkuuIla Wew kama sio mtu wa mambo mengi sana just go with iOS, ila kama ni mtu wa kuiengage smartphone with a lot of stuffs and other mobile devices i suggest u go with samsung!
kwa resale value iphone wapo vizuri angalia bei za galaxy s5/note 4 na bei za iphone 6/6 plus utaona jinsi samsung zinavyoshuka thamani mapema, zote ni flagship za hayo makampuni mwaka 2014.mkuu nimetumia window lumia 540, ofcoz ni nzuri ila sijatumia ios, nataka simu ambayo not much popular afu hata nikiichoka naweza iuza bila hasara kubwa
hapana mkuu kuanzia galaxy s6 kuja note 5 hadi s7 na note 7 flagship za samsung zipo unique na pengine ndio simu zenye muonekano mzuri zaidi,Pia kama ukiwa na iPhone itakupa show off zisizo za kujitakia, when u hold an iPhone every modern man knows u gat apple product, it's so unique. ila samsung haiko unique kiivo, inaresemble na mobile phones zingine kibao tu excluding apple. Thou technically zote ni latest na zinafanya vizuri in terms of performance, camera quality, battery life and so forth.