Mkatavimeo JF-Expert Member Joined Jan 3, 2011 Posts 2,150 Reaction score 875 Sep 11, 2012 #61 Loh! Pamoja na comments za watu wote, hongera sana Mtambuzi! Ntakuungisha one day, inshaalah!
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Sep 11, 2012 #62 Aisee!
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,986 Reaction score 168,517 Sep 11, 2012 #63 Mtambuzi said: Inafunguliwa rasmi leo maeneo ya Tabata Ubaya Ubaya..... Naomba mniunge mkono wana JF, ndio nimeanza mchakato wa kujiajiri ili kuondokana na umasikini. Nyama choma, ndizi choma, na mchemsho wa kuku wa kumwaga......... Click to expand... Umetunyima ulingo sisi wateja wa Samaki Mchanga
Mtambuzi said: Inafunguliwa rasmi leo maeneo ya Tabata Ubaya Ubaya..... Naomba mniunge mkono wana JF, ndio nimeanza mchakato wa kujiajiri ili kuondokana na umasikini. Nyama choma, ndizi choma, na mchemsho wa kuku wa kumwaga......... Click to expand... Umetunyima ulingo sisi wateja wa Samaki Mchanga
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Sep 12, 2012 #64 Kongosho said: Mie mhudumu wa nini?? Usikute namhudumia mwenye bar kuchukua pesa zake zote na kwenda kumalizia li-losheni langu kule ufukweni Click to expand... acha kumtia majaribuni baba canta,eti unamtunzia hela,boo!
Kongosho said: Mie mhudumu wa nini?? Usikute namhudumia mwenye bar kuchukua pesa zake zote na kwenda kumalizia li-losheni langu kule ufukweni Click to expand... acha kumtia majaribuni baba canta,eti unamtunzia hela,boo!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Sep 12, 2012 #65 Unantaka??????? Bishanga said: acha kumtia majaribuni baba canta,eti unamtunzia hela,boo! Click to expand...
Unantaka??????? Bishanga said: acha kumtia majaribuni baba canta,eti unamtunzia hela,boo! Click to expand...
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Sep 12, 2012 #66 dazipozi said: Sura yake uyo mama na Matendo yake Baba 1 mama 1,Mx Click to expand... Sijakupata dazipozi,mama yupi huyo unaemuongelea??? Madame B said: Usinitie ktk kishawishi, lakini unitetee kwa ma-Mod, Asante. Haya mwaga majibu... Click to expand... Hivi mzuka huwa unapanda hata ukiona maandishi..........kudadadeki zake huyo jamaa atakua anafwaidiii! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
dazipozi said: Sura yake uyo mama na Matendo yake Baba 1 mama 1,Mx Click to expand... Sijakupata dazipozi,mama yupi huyo unaemuongelea??? Madame B said: Usinitie ktk kishawishi, lakini unitetee kwa ma-Mod, Asante. Haya mwaga majibu... Click to expand... Hivi mzuka huwa unapanda hata ukiona maandishi..........kudadadeki zake huyo jamaa atakua anafwaidiii!
jouneGwalu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,696 Reaction score 1,807 Sep 12, 2012 #67 Bishanga said: boo! Click to expand... oyo B, hebu twende taratibu hapo. Watu tunakula
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,628 Sep 12, 2012 #68 nadhani umesikia mamlaka ya hali ya hewa walivosema