Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,688
- 113,022
Ahahaha upo kama mimi nkishatuma maombi mara moja inatosha sana nikirudia nakua sipo serious kabisa ila kuna wale wa kuwatamani unakomaa ad ufanikiwe.Unamtia kindimu sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787],,, naku approach seriously mara ya kwanza, kuanzia ya pili i do it for fun.
Hawa wenzetu wanaotongoza miaka sijui wanawezaje, niwape hongera tu.