Mtambue mtu uliye na mahusiano naye

Mtambue mtu uliye na mahusiano naye

yaani mbaya inakuwa mnapokuwa mko katika categories tofauti, inakera na kuumiza sanaaaa
 
yaani mbaya inakuwa mnapokuwa mko katika categories tofauti, inakera na kuumiza sanaaaa

Ukiangalia malalamiko mengi katika uhusiano yanatokana na kutojuana na kutambuana vizuri. Tusiishie kulalamika kwamba mwenzangu hatuelewani huku hatujafanya juhudi za kutaka kuelewana. Ndio mambo ya 'nikimtumia msg anajibu mkato au hapendi kuongea kwenye simu. Ukweli ni kwamba anaboreka na maongezi marefu!
 
Mimi sijawahi kuwa quiet all my life.

At one point I might have been an extrovert, but not anymore.

Hivi nipo kundi gani?
 
Mimi sijawahi kuwa quiet all my life.

At one point I might have been an extrovert, but not anymore.

Hivi nipo kundi gani?


..Naomba nafasi nitambue kundi lako..
 
Mimi sijawahi kuwa quiet all my life.

At one point I might have been an extrovert, but not anymore.

Hivi nipo kundi gani?

Kuwa in one group haimaanishi kwamba all your life utakuwa 'hi up' showing all your features. You may may changed your behaviour due to environmental influence but you still feel some 'things' inside you. Mfano mtu aliyezoea kuhang out na washkaji akishaoa na kupunguza hizo tabia sio kwamba kila kitu kwake kimebadirika. Ni majukumu tu yameongezeka yanamfanya aachane na mambo mengine. Hili pia tegemea kwa mwanamke ambaye ameshaanza malezi ya watoto. Kuna vitu atakuwa anavitamani kwa wakati huu lakini hataweza kuvifanya.
 
Back
Top Bottom