Mtambo wa kuzalisha umeme umewasili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtambo wa kuzalisha umeme umewasili?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by furahi, Jul 14, 2011.

 1. f

  furahi JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Naangalia TBC1 Habari. Mtambo mmoja kati ya mitatu iliyopelekwa kwa matengenezo umewasili. Inanikumbusha 2006 tulipoipokea mitambo ya Richmond kwa mbwembwe. Dah! Sijui!
   
 2. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama utaleta mabadiliko yoyote katika sekta ya umeme nchini
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bado ni mambo ya magamba tu! Mi mpk nione mabadiliko tu!
   
 4. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,534
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine tuwe na fikra chanya!
   
 5. h

  hahoyaya Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni danganya toto tu...umesahau kesho ni bajeti ya wizara ya nishati na madini? Watanzania tunadanganyika kirahisi!!!!!
   
 6. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  du watu wanajua ku relate na issue!nilikua nsahau kuwa kesho ndio budget!aisee patachimbika!ntatembea na ki redio changu cha mkulima nisikilize uhondo.
   
 7. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  changa la machoo wakuu!!!!
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  On the red: Spot on. Na kama mtagunduwa walichoonesha ni MABOXI makubwa ya mbao. Waandishi wetu wametuangusha maana sikumsikia hata mmoja akiuliza kuna nini ndani ya maboxi? Ni kweli yalikuwa na mitambo? na kama kulikuwa na mitambo ni kweli ndiyo mitambo iliyopelekwa kutengenzwa? Na inakuwaje mitambo inawasili a day before bajeti ya Ngeleja? Waandishi waliona nyaraka za kusafirisha hiyo mitambo ku-establish ukweli wake?

  Kama kuna mtu mwenye mawasiliano na Mnyika, ambipu ili afuatilie huu mchezo wa kuigiza kabla kesho Ngeleja hajawasomea POROJO za kuwa mitambo imetengenezwa na tayari imeletwa!.
   
 9. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hakuna jipya,ucku mwema karibu ngeleja kesho
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Yale yale,hiyo mitambo inaendeshwa na gas na ya richmond gas.
  Uwezo wa kuleta gas kwa mabomba toka gas inapotoke mdogo sana
  maana mabomba ni madogo sana. Sasa jiulize utazalishwa vipi??????
   
 11. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wajanja hawa watu wanaleta sana usanii kuliko kutumia akili,kesho bajeti leo wanatuambia haya sasa tutaamini vipi kama sio ujinga huu......
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  huku wanasema mabomba ya gesi hayakidhi mahitaji,huku unaongeza mitambo huo ni usanii uliotukuka
   
 13. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tanesco wametoa ahadi kuwa mwezi agosti ndiyo mwisho wa mgao baada ya kuingiza majenereta manne yatakayozalisha megawati elfu moja source ITV
   
 14. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #14
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni megawati 100 na siyo 1000 kama ulivyo sema wewe, na majenereta hayo yatafungwa mwenzi Agosti na bado mgao wa umeme upo pale pale.
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  WELCOME!!!! nawasihi TANESCO wawape ushirikiano. MAISHA YETU NI BAHATI NASIBU. thnx ngeleja kwa kutuletea matatizo
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  km mlisikioiza vizuri lile lililoshushwa leo ni la megawati 35 tu kati ya hayo majenereta yanayotarajiwa kuzalisha megawati 100. so bado hazijatimia mia hapo!
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kumbe shida si maisha bora kwa kila mtanzania shida ni bora maisha kwa kila mtanzania au sio?
   
 18. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Nia ya JK na serikali yake ya kifisadi ni kuua kampuni ya Tanesco kama alivyofanya BWM kuua NBC.
   
 19. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Ni megawatt 35 bana; kwa muujibu wa mkurugenzi wa hao walioleta hiyo mitambo alipokuwa anaongea TBC1 habari. By the way nimependa hiyo avatar, yani kama akili ya JK + Ngereja + CCM = 0.
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tanesco imekufa zamani inangojea kuzikwa tu. Kuna shirika gani la umma lenye uhai?
   
Loading...