Mtambo wa kuchenjua Makinikia wakamilika kwa asilimia 95%. Watoa suluhu kwa wachimbaji wadogo na wakubwa na kudhibiti wizi wa dhahabu

Wana jukwaa

Kuweka sawa hoja...

Huu ni mtambo wa mfano wa kuchenjua dhahabu kwa ajili ya kuwasaidia WACHIMBAJI WADOGO ambao kwa miaka wamekuwa wanatumia Teknolojia duni na hivyo kupata dhahabu kidogo.

Huo sio mtambo wa kuchenjua MAKINIKIA.

Hadi sasa hakuna mtambo wa kuchenjua MAKINIKIA.

Mwandishi wa taarifa hii kwenye gazeti ANAPOTOSHA WANANCHI

Kwenye ukweli tuseme hata kama Mfalme STONE TANGAWIZI anataka kusikia nyimbo za mapambio
 
Na gharama ziwekwe ambazo tutaweza kuzimudu, kwa sie wajasiliamali wadogo
 
Wana jukwaa

Kuweka sawa hoja...

Huu ni mtambo wa mfano wa kuchenjua dhahabu kwa ajili ya kuwasaidia WACHIMBAJI WADOGO ambao kwa miaka wamekuwa wanatumia Teknolojia duni na hivyo kupata dhahabu kidogo.

Huo sio mtambo wa kuchenjua MAKINIKIA.

Hadi sasa hakuna mtambo wa kuchenjua MAKINIKIA.

Mwandishi wa taarifa hii kwenye gazeti ANAPOTOSHA WANANCHI

Kwenye ukweli tuseme hata kama Mfalme STONE TANGAWIZI anataka kusikia nyimbo za mapambio
PROVE....

Hoja inapingwa kwa hoja!
 
Daaah hizi siasa hizi zinatupeleka vibaya,i know the place na mtambo pia,mtambo ni mdgo na wa kawaida ,old mexican type CIP tanks....hamna kampuni kubwa itakayoenda eti kuchenjua...yaan hawa wanasiasa waongo waongo...mradi ulikuwa under world bank wadhamini wakuu kupitia stamico....hzo CIPs wachimbaji wengi sasa hivi wanazo,umejengwa kama mgodi wa mfano wa wachimbaji wadogo.
Kupima hilo hata uzi wenyewe upo jukwaa la siasa...

Kumbe wanatuinjoi
 
Back
Top Bottom