Mtambo wa JF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtambo wa JF?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Yo Yo, Jun 30, 2009.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Kumbe JF tuna mitambo kama hii? Sina hakika kama kweli kazi ipo.....

  MICHUZI
   
 2. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni matokeo ya kufungwa kwa ile website.
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu ndio sasa tunaanza kuona effects za kufungwa ile web.....
  jamaa ni mtambo haswa.....kuna wakati niliona hata humu alikuwa anaandika mambo yasioeleweka nikajua atakuwa chizi tgeofrey kaingia....
   
 4. Daina

  Daina Member

  #4
  Jun 30, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahaaa,lakini jamani na nyie hamna jema.Tatizo lake nini mwenzenu anatafuta kazi?au mnataka afulie muanze kumchekaa?
  Duh lakini kwakweli sio siri jamaa mtambo haswaa tena nahisi wa kinyesi!!
   
 5. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  inaemekana jamaa hayuko sawa sawa.kwani alishawahi kuwa member hapa JF?
   
 6. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duu hizo comment za kwa Michuzi ni dozi tosha! wamemnangananga hadi huruma!
   
 7. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,797
  Likes Received: 6,306
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa nilikuwa nae Chuo UD (Engineering) darasa moja -Ni CHIZI!
   
 8. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Inasemekana? Duh!! sasa wewe hujafuatilia na kuhakikisha?
   
 9. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Alafu Yo Yo unawasema wenzako kuwa wanaanzisha threads za kisalon salon, hii nayo tuiweke kwenye kundi gani?
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tehe tehe mkuu umeangalia ile link? alafu unajua aliwahi kuwa member wa JF na alikuwa anamwaga vepa mtindo mmoja....hii sio kama ile mtu anaanzisha thread eti yuko wapi cuppy wake? au kwanini lyumba anakunywa maji au unaona iko sawa na ile Flora nducha kaolewa na nani?
   
Loading...