Tokyo40
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,065
- 1,926
Mfalme Salman wa Saudi Arabia kawasili Ufaransa kwa mapumziko ya wiki tatu.
Mfalme kaja na wageni wake 1000 na kukaa katika villa yake mjini Vellauris, iliopo karibu na ufukwe wa bahari maarufu ya Riviera.
Mfalme karuhusiwa kujenga lifti na ngazi maalum katika villa yake ili imshushe baharini kirahisi.
Kwa sababu za kiusalama, mita mia ya ufukwe wa bahari kuanzia katika villa yake imefungwa kwa raia wa kawaida.
Likizo Njema!

source:theguardian.com