hahaaa unamchokoza Mamndenyi wewe!!!
Heaven on earth unajua Lady doctor ananigwaya kama nini
hajiamini anajua kuna siku kitamuwakia tu
Naomba umwambie Arushaone??
anafanywaje?
kama ulimpa mechi ya maana...atakutafuta tu...hata kwa tochiAnatongoza...!