Mungu amlaze mahali pema peponi!!! Alikuwa na upendo sana kwa watu. "Jina la Bwana Lihimidiwe"
Nasikia safari yake iliratibiwa kwa umahiri mkubwa na Mh. Wilbrod Slaa
Mungu amlaze mahali pema peponi!!! Alikuwa na upendo sana kwa watu. "Jina la Bwana Lihimidiwe"
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hakuna mbingu wanayokwenda watu baada ya kufa zaidi ya za kwenye hadithi.sio alazwe pema pepon, Huyu ni Mtakatifu kwa hiyo tayari ametakaswa na yupo juu mbunguni kwa ajili ya utme mwingne huko, kwa hyo cha msingi tumuombe aendelee kutuombea
if u differ with my religious belifs u cant understand.Hakuna mbingu wanayokwenda watu baada ya kufa zaidi ya za kwenye hadithi.
Kama ipo thibitisha.
Millioni 7 unazo au unatoa kauli za uchochezi tu? Sasa huyu Mtukufu wa Tanzania yeye atakuwa nani mtukufu uchwra?Anastahili kuitwa mtakatifu
huyo hasujudu km watu wa mudi wanavyofanya papa alikuwa anabusu ardhiMkuu hapo naona ana sujudu kama waisilamu tena paullo sembusi sisi wakiristo na hapa ni ishara tosha ya kudanganywa na hasa kila jumapili kanisani ni kupiga makelele ya saadaka basi na nawaomba sasa tubadilike tuwe kama huyu wa kusujudu na tusifanyi haraka taratibu basi