Try to connect dots bro... Teuzi bila live?One dominates
Kwani teuzi inaangalia au kuzingatia dini?Kuna waliohamishwa wizara na si wapya kwenye baraza la mawaziri, ... mnaoleta hoja ya balance ya kidini angalieni vizuri!
Kuimba kupokezana watakapoanza kulia tutawakumbusha.5-2 hii ratio ndio wanaipenda kina Mohamed Said
Wanasahau haraka.Kuimba kupokezana watakapoanza kulia tutawakumbusha.
Mzee wangu hapa umechemka tangu lini teuzi zikawa mubashara?Try to connect dots bro... Teuzi bila live?
Token hapa na Ramli zenu chonganishimiezi ya mwisho ya hayati JPM pia alijitahidi sana kufanya uteuzi ili kuuonyesha umma kuwa yeye ndio namba moja...sitamani sana kuona kiti chaa urais kina kaliwa na Rais ambae hakuwahi kugombea Urais but niliiona bendera ya Zambia ikipepea nusu Mlingoti kabla ya tarehe 29, mwezi 10
Je mbona hukutaka kuhoji ni live gani?Mzee wangu hapa umechemka tangu lini teuzi zikawa mubashara?
Sio Zambia ni Malawimiezi ya mwisho ya hayati JPM pia alijitahidi sana kufanya uteuzi ili kuuonyesha umma kuwa yeye ndio namba moja...sitamani sana kuona kiti chaa urais kina kaliwa na Rais ambae hakuwahi kugombea Urais but niliiona bendera ya Zambia ikipepea nusu Mlingoti kabla ya tarehe 29, mwezi 10
asante kwa kunikumbusha narekebishaSio Zambia ni Malawi