VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Hawa mods wachakachuzi mno. Kabla ya mwaka 2009 mimi nilikuwa nisha amass Thanks zaidi ya elfu tano. Ghafla bin vruuu zikatoweka! Tukaanza moja tena. Nikajikusanyia zaidi ya elfu tatu! Nazo zimetoweka.
Kwa sasa sijali tena kwani hazina maana kabisa siku hizi. Watu wanapeana kishikaji. Wewe ukiwe mjombashka wa Afrodenzi akiona umebandika sehemu anakugongea. Hata iwe umeandika kicheko kama hivi (heheheheee au lol) utagongewa.
Ni upuuzi mtupu.
Kuanza upya sio ujinga!
Oh tena nisije sahau...saa ingine unakuta hizi thanks zinaombwa kabisa. Wengine utaona wanakumbushia kabisa...ebana mwaflani mbona umesahau kunigongea....teh teh teh....duuuh ama kweli haya ni mapenzi dotcom!
Hawa mods wachakachuzi mno. Kabla ya mwaka 2009 mimi nilikuwa nisha amass Thanks zaidi ya elfu tano. Ghafla bin vruuu zikatoweka! Tukaanza moja tena. Nikajikusanyia zaidi ya elfu tatu! Nazo zimetoweka.
Kwa sasa sijali tena kwani hazina maana kabisa siku hizi. Watu wanapeana kishikaji. Wewe ukiwe mjombashka wa Afrodenzi akiona umebandika sehemu anakugongea. Hata iwe umeandika kicheko kama hivi (heheheheee au lol) utagongewa.
Ni upuuzi mtupu.
nitakuwa nakupa thanks mimi mama yako kila nikuonapo, masharti, vua gamba kwanza.
Ni kweli kabisa ni upuuzi mtupu NN, wanasema THANKS zinatolewa kishkaji na wameamua kuanza zero kwa mara ya pili sasa katika kipindi cha miaka miwili, hata LIKES nazo zinatolewa kishkaji lakini wameamua kuziacha! Ni uamuzi ambao hauleweki kabisa.
ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaDuh post takriban elfu 5 sijawahi kutoa wala kupokea Thanks hata moja..!!!
Nilidhani nina mtaji wangu tayari, ukiona hivi unaweza kusema huyu Jamaa ni mchoyo kweli kweli..!!!
Ngoja nianze kuzunguka na kutafuta mapost ya watu na kumwaga mi-Thanks...
By the Way Have A Nice Weekend...
Join Date : 4th November 2010
Location : Everywhere
Posts : 5,010
Thanks0Thanked 0 Times in 0 Postsah
Rep Power : 72
Ujanja ni kugongeana mpaka tuzirudishe kwenye level yake. Yaani mtu akikugongea na wewe unamgongea. Nakugongea halafu nasubiri yangu!Ngoja nianze kuzunguka na kutafuta mapost ya watu na kumwaga mi-Thanks...
Kwa kweli hata mimi wamenitia uchungu mno
Kwa kweli hata mimi wamenitia uchungu mno
Unaweza usipate chance ya kuanza upya...!!, just imagine miaka 50 hivi kutoka sasa baada ya kutangulia panapo haki.., watu wanaweza wakasikia kwamba Voice alikuwa mtu poa sana.., wajukuu wakija kuchungulia na kuona huyu jamaa duh post 100,0000 na hajatoa Thanks hata moja ?, kumbe masikini alikuwa na Thanks kama Milioni Tano ambazo zilifutwa wiki kama mbili zilizopitaKuanza upya sio ujinga!
Unaweza usipate chance ya kuanza upya...!!, just imagine miaka 50 hivi kutoka sasa baada ya kutangulia panapo haki.., watu wanaweza wakasikia kwamba Voice alikuwa mtu poa sana.., wajukuu wakija kuchungulia na kuona huyu jamaa duh post 100,0000 na hajatoa Thanks hata moja ?, kumbe masikini alikuwa na Thanks kama Milioni Tano ambazo zilifutwa wiki kama mbili zilizopita