Mtaji Wangu wa THANKS, wote umepotea.. Hii Hiii iiiiii :(

halafu na hizi rangi tofauti za IDs walizoweka inakuwa ngumu kuzisoma.
 
halafu na hizi rangi tofauti za IDs walizoweka inakuwa ngumu kuzisoma.
Ni kweli mkuu naona wanataka kutofautisha Mods, Premium Members (na hawa naona wapo kama wa aina tatu hivi) na Members wengine lakini sasa kinachotokea hata hao members wengine wanakuwa hawaonekani kabisa
 
Wengine sio wenyeji sana humu.....basi mi nlijua "like" imeireplace "thanks" kumbe sivyo??
 
Wengine sio wenyeji sana humu.....basi mi nlijua "like" imeireplace "thanks" kumbe sivyo??

Hii thanks ishakuja na kuondoka kama mara mbili hivi ila ni kwamba ikiondoka inaondoka kama gharika yaani inasomba tu-thanks twako twote ulitojukusanyia... Ha ha haa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom