Mtaji Wangu wa THANKS, wote umepotea.. Hii Hiii iiiiii :(

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Duh post takriban elfu 5 sijawahi kutoa wala kupokea Thanks hata moja..!!!
Nilidhani nina mtaji wangu tayari, ukiona hivi unaweza kusema huyu Jamaa ni mchoyo kweli kweli..!!!
Ngoja nianze kuzunguka na kutafuta mapost ya watu na kumwaga mi-Thanks...

By the Way Have A Nice Weekend...

Join Date : 4th November 2010
Location : Everywhere
Posts : 5,010
Thanks0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 72
 
Hawa mods wachakachuzi mno. Kabla ya mwaka 2009 mimi nilikuwa nisha amass Thanks zaidi ya elfu tano. Ghafla bin vruuu zikatoweka! Tukaanza moja tena. Nikajikusanyia zaidi ya elfu tatu! Nazo zimetoweka.

Kwa sasa sijali tena kwani hazina maana kabisa siku hizi. Watu wanapeana kishikaji. Wewe ukiwe mjombashka wa Afrodenzi akiona umebandika sehemu anakugongea. Hata iwe umeandika kicheko kama hivi (heheheheee au lol) utagongewa.

Ni upuuzi mtupu.
 
Kweli mkuu ila mimi zangu nilikuwa nazitoa kweli nikiona kwamba huyu jamaa ameshusha nondo sasa leo nashangaa eti sijawahi kutoa Thanks hata moja (to be precise nimetoa hio moja tu hapo kwako..) sasa kweli si inaonekana mimi ni hard to please yaani sijawahi kuona useful post... Duh kweli this is not fair...,
 
Oh tena nisije sahau...saa ingine unakuta hizi thanks zinaombwa kabisa. Wengine utaona wanakumbushia kabisa...ebana mwaflani mbona umesahau kunigongea....teh teh teh....duuuh ama kweli haya ni mapenzi dotcom!
 
nitakuwa nakupa thanks mimi mama yako kila nikuonapo, masharti, vua gamba kwanza.
 
si unajua hata mtu akifa anaenda kuzaliwa ktk dunia nyingine upya.
 
Hawa mods wachakachuzi mno. Kabla ya mwaka 2009 mimi nilikuwa nisha amass Thanks zaidi ya elfu tano. Ghafla bin vruuu zikatoweka! Tukaanza moja tena. Nikajikusanyia zaidi ya elfu tatu! Nazo zimetoweka.

Kwa sasa sijali tena kwani hazina maana kabisa siku hizi. Watu wanapeana kishikaji. Wewe ukiwe mjombashka wa Afrodenzi akiona umebandika sehemu anakugongea. Hata iwe umeandika kicheko kama hivi (heheheheee au lol) utagongewa.

Ni upuuzi mtupu.

Ni kweli kabisa ni upuuzi mtupu NN, wanasema THANKS zinatolewa kishkaji na wameamua kuanza zero kwa mara ya pili sasa katika kipindi cha miaka miwili, hata LIKES nazo zinatolewa kishkaji lakini wameamua kuziacha! Ni uamuzi ambao hauleweki kabisa.
 
Shhhhh...Bubu usiseme kwa sauti sana. Wasije kusema tunawaonea wivu bure. Eti wivu wa thanks na like. Ngoja nikaflush choo!
 
Duh post takriban elfu 5 sijawahi kutoa wala kupokea Thanks hata moja..!!!
Nilidhani nina mtaji wangu tayari, ukiona hivi unaweza kusema huyu Jamaa ni mchoyo kweli kweli..!!!
Ngoja nianze kuzunguka na kutafuta mapost ya watu na kumwaga mi-Thanks...

By the Way Have A Nice Weekend...

Join Date : 4th November 2010
Location : Everywhere
Posts : 5,010
Thanks0
Thanked 0 Times in 0 Postsah

Rep Power : 72
ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hawa jamaaa miyeyusho, mimi nimetoa tamko kama vipi Kwenye profile yangu watoe hiyo kitu thanx nibaki na like tu
 
Kuanza upya sio ujinga!
Unaweza usipate chance ya kuanza upya...!!, just imagine miaka 50 hivi kutoka sasa baada ya kutangulia panapo haki.., watu wanaweza wakasikia kwamba Voice alikuwa mtu poa sana.., wajukuu wakija kuchungulia na kuona huyu jamaa duh post 100,0000 na hajatoa Thanks hata moja ?, kumbe masikini alikuwa na Thanks kama Milioni Tano ambazo zilifutwa wiki kama mbili zilizopita :(
 
Kaka naona kupotea kwa hizo senksi kumekuuma sana. Wewe potezea tu kwa sababu hazina maana. Watu hata vicheko wanatolea senksi. Mishangao kama "duh" wanatolea senksi. Watu wanaombana hizo senksi. Sasa zina maana gani hizo senksi?

Wewe zipotezee tu.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom