tushapiga sana hizo enzi za mwalimu, eti miradi ya kujitegemea shuleni basi shule inakodishwa na mtu binafsi kumlimia au kubeba tofali we acha tu. Mnaambiwa kila mtu tofali mia. Tumetoka mbali wadau
Mbaya sana jamani, ni umri wa kua shule na sio kubeba mizigo namna hiyo
Mungu awanusuru, na kuwawezesha kufikia hatua nzuri ktk elimu ili wajikwamue kutoka Janga hili linalowaangamiza watoto hawa
Wapo watoto ambao kwao maisha ni maumivu makubwa. Watu wamekuwa hawajali tena kuhusu familia zao, serikali nayo ndio kabisaa. Ndio maana Robert Marley katika wimbo uitwao survival anasema "Unawezaje kusema unajali wakati tukiangalia kila kona watu wanateseka?" The world isnt fair at all
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.