M-pesa
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 602
- 151
Kweli wewe una tatizo la kichwa! Kwa hiyo unataka kusema kuna viwango vya mtaji specifically kwa wenye masters, phd, diploma na wasio na elimu kabisa? Na hii nadhani ndo sababu inayowafanya wasomo wengi wanashindwa kufanya biashara kwa kufukiria wanahitaji mamilioni ya pesa kuanza biashara.
Hiyo ni pesa mbuzi kwa biashara kwa mtu mwenye Masters, itoe tu sadaka kanisani au msikitini, mungu atakuongezea maradufu.