Mtaji ni 1000,000 tu biashara ni stationary

Elerai

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
474
Reaction score
139
Kulingana na kichwa hapo juu nahitaji kufanya biashara ya stationary mkoan nimeshalipa pango. shida yangu ni mashine y kopy and printing kwa mtaji huo mashine zle kubwa haitoshi .ktk pitapita zangu nkapata hii ndgo inaitwa HP LASERJET PRINTER MFN M125 FN nauliza wanaoifaham je wino wake ni rahis kurefill au ndo laki au nishaurin ndug kabla sijaingiaa mkenge ktk hizi biashar hyo mashine ni 460000/
 
nasubir wajuz wa mamb ya printer
 
Ni pm nikusaidie ndugu wala usijal ndiyo mambo Yangu hayo
 
Mkuu, kwa mtaji huo hiyo machine haikufai Nunua HP 1102 ni bei rahisi na ni imara sana hutajuta, na kwa upande wa photocopy duu nakushauri ujipange maana kununua used si kushauri..
 
nunua copy np canon 1215 500,000 printer ya black and white leser jet ambayo ni kama 200,000
 
Huu ushauri sio sahihi.....anunue canon used IR 2318 Laki 8, hiyo utaweza kuitumia kama printer ya black an white, kwenye Laki 2 inayobaki ongeza elfu 50 upate desktop, then biashara itasonga
 
hyo canon ir 2318 ni mpya au used
 
hyo np 1215 ni mpya kwa hyo laki tano

Spare na mafundi hawataki. ..hiyo np 1215 ni outdated....huwezi kuitumia kama printer. Halafu sidhani kama hiyo bei unapata mpya coz hizo hazitengenezwi tena. Np 1215 ni anolog wakati watu wapo kidigitali zaidi
 
aisee hyo ir 2318 kwa laki 8 naweza pata wap kwa dar unamjua supply wa hakik
 
Nenda saba saba, lango la kuingia utaelekea kushoto kama mita 100, kushoto....jina la ofisi nimesahau. Ni pm nikuelekeze zaidi
 
nielekez mkuu nimekupm ila awe wa ukwel
 
Back
Top Bottom