Mvua hamna Sasa huko kwetu siku hizi! Mwaka Kama huu ulkua mgumu ukame mwanzo mwisho"Kama unataka Mali utaipata shambani"... Sasa Kam Dar kuna shamba endelea kukaa huko! Hio hela utabetia yotee itaisha mkuu!!
NatAkiwa kuwa na Nini I'll nianze hi kazi!
!
Jifunze Kutengeneza Vibebeo Mbadala Vya Plastiki
Mkuu nipo mkoani, huku nilipo mchai chai ipo ya kutosha, je kama hutojali unaweza niambia soko lake lipo wapi kwa dar?Lima uyoga,fuga vipepeo au lima mchaichai
Kuna kampuni moja ya Kenya nitakunganisha nayo Kama upo tayariMkuu nipo mkoani, huku nilipo mchai chai ipo ya kutosha, je kama hutojali unaweza niambia soko lake lipo wapi kwa dar?
Ngoja nikuunge na jamaa mmoja ni mtaalam wa kutengeneza hyo mifuko aliandaa semina ya kufundisha watu.NatAkiwa kuwa na Nini I'll nianze hi kazi
Hivi hivyo vitu mkuu kama vipepeo huwa vina masoko kweli maana nishawahi ona mwingine anasema fuga machura flani hivi huwa yanatumika kutengeneza dawa sijui alafu akasema vitoto anauza yeye, nikaishia kuchanganyikiwa tuLima uyoga,fuga vipepeo au lima mchaichai
Anakaa Wap?Ngoja nikuunge na jamaa mmoja ni mtaalam wa kutengeneza hyo mifuko aliandaa semina ya kufundisha watu.
Yupo darAnakaa Wap?