Asee wadau wangu wa jamii forums bila shaka mko salama. Za SIKUKUU pia Ni njema kwa jina la mola.
Wanajamvi ninaomba ushauri wenu Nina shilingi milioni 1,700000 mahali flani hivi. Nimekwa nawaza biashara ya kufanya hapa jijini..Lkini mambo magumu. Nipate faida nisijelia mtu mzima.
KatikA ushauri wenu ..Cha kukumbuka tu Mimi sina nyumba dar ila naishi dar.
KAMA HUNA CHA KUCHANGIA SI LAZIMA UANDIKE.
Mola atusaidie.