Mtaje Unayemfahamu Pichani

Mtaje Unayemfahamu Pichani

Duuh Mimi wamenificha hata sionekani vizur hapo nyuma....
 
Uyo alovaa manguo mekundu anaitwa KUWAYAWAYA S KUWAYAWAYA aliwai kua mbunge wa mpwapwa zamani hua anavaa manguo mekundu maisha yake yote!!
 
Kutoka kushoto mstari wa mbele
Kigwangala,
Kuwayawaya Steven Kuwahawaya
R.Mengi
Philemon Sarungi
hao wawili nimewasahau
Alhaj A H.Mwinyi Rais Mstaafu
Mwisho namuona M.Nnauye/M,Ndolanga sioni sura vema hapo
 
Uyo alovaa manguo mekundu anaitwa KUWAYAWAYA S KUWAYAWAYA aliwai kua mbunge wa mpwapwa zamani hua anavaa manguo mekundu maisha yake yote!!

Huyo wakili Mwamba kutoka Dodoma sio nguo tu hadi kushion za siti ya gari ni red,ofisini kwake pale gorofa la CCT Mwaka makochi mapazia mekundu briefcase nyekundu.

Sikuhizi nasikia kawa Mchungaji. Canon S. Kuwayawaya

NB: sijui jina lake kama lina uhusiano
wowote na kuwayawaya=kuhangaika

Refer:Maneno ya Gwajima kuwa Pengo anawayawaya😂😂
 
Kutoka kushoto mstari wa mbele
Kigwangala,
Kuwayawaya Steven Kuwahawaya
R.Mengi
Philemon Sarungi
hao wawili nimewasahau
Alhaj A H.Mwinyi Rais Mstaafu
Mwisho namuona M.Nnauye/M,Ndolanga sioni sura vema hapo
Kigwangala umetania au
 
Haha
Uyo alovaa manguo mekundu anaitwa KUWAYAWAYA S KUWAYAWAYA aliwai kua mbunge wa mpwapwa zamani hua anavaa manguo mekundu maisha yake yote!!
Hahahaha hata hausi take in rangi nyekundu
 
Back
Top Bottom