Mtaje mtu unayemchukia humu ndani JF


Felister

Felister

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
306
Likes
640
Points
180
Felister

Felister

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2018
306 640 180
Mimi nina bifu na wewe. Tabia yako ya kuondoka kila mara kwa kisingizio eti unakwenda kuchaji simu katika ule uzi wetu huwa inanikera sana
Hahaha sasa apo Kama Ni bifu weka na simu co Mimi.... Ye simu Ndio mkorofi anazimika chaji kila mda
 

Forum statistics

Threads 1,262,319
Members 485,560
Posts 30,120,637